Psalms 109:18-19

18 aAlivaa kulaani kama vazi lake,
nayo laana ikamwingia mwilini mwake kama maji,
kwenye mifupa yake kama mafuta.
19 bNa iwe kama joho alilozungushiwa,
kama mshipi aliofungiwa daima.
Copyright information for SwhNEN